About Us

Nguvy ya Rozari

Sisi ni Shirika linalojitolea kuhamasisha mazoea ya kutafakari na kusali Rozari Takatifu kama njia ya kuimarisha maisha ya kiroho na kijamii. Tunafanya kazi ya kuwasaidia watu binafsi, familia na jumuiya kugundua utulivu, matumaini na mshikamano unaopatikana kupitia sala ya Rozari.

Kupitia kampeni, semina na nyenzo mbalimbali, tunalenga kukuza utamaduni wa sala na tafakari unaochangia amani ya moyo, mshikamo wa kifamilia na jamii yenye mshikamano. Tunaamini kuwa sala ya Rozari ni hazina inayoweza kumgusa kila mtu kwa namna ya kipekee, bila kujali asili yake.

Become Volunteer

Quick Fundraise

Give Donation

Become Volunteer

Tunayoyafanya

Shughuli Tunazofanya

Please Donate For Help

🌹 MATENDO YA HURUMA – MWEZI WA ROZARI 🌹

Kaulimbiu: “Tafakari Rozari, Ishuhudie Upendo kwa Matendo.”

🌹 UMUHIMU WA KUSALI ROZARI KWA FAMILIA NA JAMII 🌹

Kaulimbiu: “Familia Inayosali Pamoja, Hukaa Imara Pamoja.”

🌹 JIUNGE NA UTUME WA NGUVU YA ROZARI 🌹

Kaulimbiu: “Tenda Huruma, Sala Rozari, Uishi Upendo.”

Nguvu ya Rozari

Maelezo kwa ufupi

Sisi ni shirika lisilo la kibiashara linalohamasisha sala ya Rozari Takatifu kama njia ya kuleta amani ya moyo, mshikamano wa kifamilia na matumaini katika jamii.

Maono Yetu

Kujenga jamii yenye mshikamano, yenye matumaini na amani endelevu, inayothamini sala na tafakari kama nguzo ya maisha bora ya kiroho na kijamii.

Dira Zetu

Kusali Rozari

Tunajitolea kukuza utamaduni wa kusali Rozari kila siku kama njia ya kuimarisha imani na kupata amani ya moyo.

Tafakari ya Rozari na Huruma ya Mungu

Kupitia tafakari ya mafumbo ya Rozari na sala ya Huruma ya Mungu, tunawasaidia watu kugundua upendo na wokovu wa Mungu katika maisha yao ya kila siku.

Kuhamasisha Watu Kusali Rozari

Tunafanya kampeni, semina na program mbalimbali za uhamasishaji ili familia, vijana na jumuiya zote zigundue baraka na neema za sala ya Rozari.

Kusaidia Wahitaji

Kwa roho ya huruma, tunajitahidi kuwasaidia wahitaji kwa njia ya misaada, mshikamano na maombi, tukitenda matendo ya upendo yanayoshuhudia imani hai.

Sali Rozari Takatifu Kila Siku

Dira Kuu

Kukuza utamaduni wa kusali Rozari kila siku kama njia ya kuimarisha imani na kupata amani ya moyo.

Fanya Matendo ya Huruma

Dira Kuu

Kwa roho ya huruma, jitahidi kuwasaidia wahitaji kwa njia ya misaada, mshikamano na maombi, tukitenda matendo ya upendo yanayoshuhudia imani hai.

Je, Utatusaidia?

“Mchango wako ni sehemu ya utume wa kuokoa na kuboresha maisha kwa njia ya sala, elimu na matendo ya huruma. Kwa msaada wako, tunashirikiana kueneza upendo wa Mungu na kuleta matumaini kwa wenye kuhitaji.”

Kutana na Timu Yetu

Timu ya waanzilishi

Please Donate For Help

Mr. Herbert Beda

Mwanzilishi Mkuu

Mr. Alfred Mroso

Mwanzilishi Mshiriki

Ms. Elizabeth Mganga

Mwanzilishi Mshiriki

Md. Luitfrida Mmole

Mwanzilishi Mshiriki

Mr. Fredrick Mapunda

Mwanzilishi Mshiriki
Miradi Ijayo

Yaliyomo katika Nguvu ya Rozari

Please Donate For Help

0
Project Complate
0
Satisfied Clients
0
Experienced Staff
0
Awards Win
Fahamu Zaidi

Habari! Mwana Nguvu ya Rozari

13 Dec

“Nguvu ya Rozari — Alfajiri ya Matumaini”

Kila alfajiri saa Tisa, wanachama wa Nguvu ya Rozari […]

13 Dec

“Rozari” — Sala Inayounga Mioyo Kila Alfajiri

Kila alfajiri saa Tisa kamili, wakati wengi bado wameshikiliwa […]

14 Oct

Nguvu ya Rozari: Tabasamu kwa wahitaji

Kwa moyo wa huruma na upendo wa Kikristo, wana […]